Kozi

MLVTC hufundisha kozi zilizosajiliwa na VETA na kozi nyingine fupu fupi.

Kozi ndefu za miaka miwili

Information and Communication Technology (ICT)

Kozi hii humwezesha mhitimu kufahamu kufunga kompyuta, kurekebisha kompyuta na kufanya kazi mbalimbali kwa kutumia kompyuta (Microsoft word – excel, powerpoint, access nk).
Ufaulu mzuri wa mitihani ya VETA humfanya mhitimu kupata cheti cha VETA ngazi ya II.

Ufungaji wa umeme

Kozi hii huwezesha mhitimu kujua kufunga vifaa vinavyotumia umeme na kufunga umeme wa majumbani.

SAda:
Boarding students: 1.260.000 per year = total 2.520.000 Tsh
Day students:              650.000 per year =  total 1.300.000 Tsh

Kozi fupi zitolewazo MLVTC

 

SubjectMuda wa masomoYaliyomoAda (bila michango mingine)Ada ( kwa wanafunzi wa bweni)
Introduction to Computers
Wiki 2 basics  of personal computers  and introduction for beginners30.00075.000
Microsoft WordWiki 2

 writing letters (incl. serial letters) and all other kinds of text on a PC

30.00075000

Microsoft Excel

Wiki 2 design of tables and spreatsheets for business and science30.00075.000

MICROSOFT Access

Wiki 2working with a data base30.00075.000

MS Power Point

Wiki 1designing effctive presentations 20.00050.000

MS Publisher

Wiki 2designing websites, print publications and product presentations30.00075.000

Graphics design

Wiki 2fundamental skills needed to create visual content for communicating messages (page layout, typography and pictures)30.00075.000

Internet & email

Wiki 2effective work with email and internet30.00075.000

Windows Installation

Wiki 2how to install Windows on a PC30.00075.000

Program Installation

Wiki 2how to install a programm on a PC30.00075.000

English

Wiki 4written and oral communication in English60.000150.000
     
swSwahili