KAMPASI YETU

Kujifunza kwa ufasaha kunahitaji miundombinu sahihi

Chuo cha MLVTC kinayo mazingira mazuri ya kuishi na kujifunzia.

Tangu mwaka 2011, kwa msaada wa wafadhili wa Ujerumani chuo kimepata vifaa na kuweka miundombinu kwa ukamilifu kuwezesha MLVTC kuwa mahali panapofaa kwa masomo na kuishi:

  • -kuna chumba cha kujifunzia masomo kama hisabati, ujasiriamali na mbinu za maisha
  •  -mahabara za Kompyuta ambamo kila mwanafunzi ana kompyuta yake ya kujifunzia darasani na kwa wakati wake binafsi
  • -mabweni yaliyojengwa mbalimbali na yanayofaa kiafyaa kwa ajili ya wavulana na wasichana
  • -bwalo kubwa kwa ajili ya milo na matukio au maburudisho kama TV, midahalo na uimbaji
  •  Makazi kwa ajili ya walimu ndani y aeneo la shule
  • Makazi ya wanaojitolea kutoka Ujerumani
Our environment is conducive for better and quality education.

Jiko na bwalo

Mabweni
Mabweni yana uwezo wa kulaza wanafunzi 80 na kila chumba kinalaza wanafunzi 4.

Shughuli za nje

Kuna utunzaji wa bustani ambapo wanafunzi hustawisha mboga mboga kwa kuboresha mlo wao.

Maabara ya Kompyuta 

Kila mwanachuo anapata kompyuta yake ya kutumia kipindi chake chote cha mafunzo

Lipo eneo kwa ajili ya michezo

swSwahili